TANGAZO

UONGOZI OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.] dkt2 
Uongozi wa  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora wakiwa katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] dkt3 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ikulu.]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini   alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika kikao kilichofanyika leo asubuhi ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.) dkt5 
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora wakimsikiliza Waziri  Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini   alipokuwa akitoaTaarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika leo asubuhi ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.) dkt6 
Katibu Mkuu Wizara ya Ncho Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Salum Maulid Salum (kushoto) na watendaji wengine wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyotolewa na Waziri  Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini (hayupo pichani) katika mkutano uliofanyika leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] dkt7 
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya  Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora wakimsikiliza Waziri  Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini   alipokuwa akitoaTaarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika leo asubuhi ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.)
UONGOZI OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA UONGOZI OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA Reviewed by Unknown on Februari 18, 2015 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.