TANGAZO

Fix za BABA LEVO kama kawaida, leo kawageukia manesi.. eti hawatunzi siri za wagonjwa !!


funniest-clean-jokes-logo2Huyu jamaa ni msanii wa Bongo Fleva, upande mwingine ni mchekeshaji sana.. ana story zake popote akikaa huwa zinamtoka tu, kama uko karibu yake ni lazima ucheke.
Tumesikia FIX nyingi sana za Baba Levo akiwa anapiga na watu wake mtaani, sasa leo unaambiwa kakaa sehemu anasimulia ishu ya manesi ambao hawatunzi SIRI za wagonjwa.
Play hapa umsikie sasa na

 kiro ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye FacebookTwitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook
Fix za BABA LEVO kama kawaida, leo kawageukia manesi.. eti hawatunzi siri za wagonjwa !! Fix za BABA LEVO kama kawaida, leo kawageukia manesi.. eti hawatunzi siri za wagonjwa !! Reviewed by Unknown on Aprili 16, 2015 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.