TANGAZO

Kingine kilichosikika leo kutoka Kenya ni vifo vya watu 4 ikiwemo Askofu mmoja, kisa nyama ya ngombe !! #RIP


20130721-newsZimesikika nyingi toka Kenya kuhusu ishu ya mashambulizi ya kigaidi.. leo kwenye zilizoripotiwa sio hiyo tena, hii inahusu vifo vya watu wanne, mmoja wao ni Askofu.
Mashuhuda wamesema watu hao wamefariki baada ya kula supu ya nyama ya ng’ombe ambayo wanahisi nyamba hiyo ilikuwa na sumu, kati ya waliofariki yupo muuzaji pia wa supu hiyo.

Watu wengine sita ni majeruhi ambao bado wanaendelea kupatiwa matibabu Hospitali.
Maafisa Usalama wa Afya wamesema watu hao walikula chakula mahali ambapo sio salama, wakafanya msako na kumakamata watu ambao wanauza nyama bila kibali cha kufanya biashara hiyo.
Isikilize taarifa kutoka kituo cha K24 Kenya hapa…
KIROBOTO ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye FacebookTwitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook
Kingine kilichosikika leo kutoka Kenya ni vifo vya watu 4 ikiwemo Askofu mmoja, kisa nyama ya ngombe !! #RIP Kingine kilichosikika leo kutoka Kenya ni vifo vya watu 4 ikiwemo Askofu mmoja, kisa nyama ya ngombe !! #RIP Reviewed by Unknown on Aprili 16, 2015 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.