WAZIRI NYALANDU AKAGUA MIPAKA YA MBUGA YA SADAANI NA KUAMURU MGOGORO WA MIPAKA UMALIZWE
Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Adrehem Meru, wakipata maelekezo kuhusiana na mipaka ya hifadhi ya Taifa ya Saadan kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma (katikati) walipotembelea kutatua mgogoro uliohusu wananchi na hifadhi hiyo. ![ny2](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vlckBo_aAA84Uy4_OaSCrU83nRNdoZJcSGCQMfVv3cSbTWzlo6qDuiGTlmBb87tN_x963HK1GqxoyfCJ2CfiVYk4M7wy55uJuWRUuVEmJWIeYOv78emltTjP15mwxKrWOA2zkO=s0-d)
Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma(katikati) akitoa maelezo kwa Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Aderehem Meru kuhusiana na mogoro wa mipaka baina ya hifadhi hiyo na wawekezaji wa shamba linalopakana na hifadhi hiyo. Waziri Nyalandu aliamuru mipaka ya zamani izingatiwe ili kumaliza mgogoro huo. ![ny3](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vazOSGRZ9JyVJPF1N4qfLyY_Oh3URv8kp8Bf6_sFDdayR8GJWxJMSk7KYwoHHWiDd2IZ50gCyIw5YMRyKc1HzCTJw_jeGCUdLwvBf5TEVycqlc62GVmMij4y18H7lWnbGkLsAV=s0-d)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyallandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru wakiwa katika boti katika mto wami juzi walipotembelea hifadhi hiyo kwa ajili ya kutatua mgogoro wa mpaka katika ya hifadhi hiyo na wananchi.
Msafara wa Waziri wa Maliasili na utalii Lazaro Nyallandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru ukipita kwa tabu katika barabara iliyoharibika kutokana na mvua wakati wakikagua mto Wami ambao awali ulikuwa mpaka wa Hiadhi ya Saadana na kupanuliwa kitu kilichosababisha kuwapo kwa mgogoro wa muda mrefu wa mipaka. Waziri Nyalandu aliamuru mgogoro huo kumalizwa mara moja kwa kuzingatia mipaka ya zamani
WAZIRI NYALANDU AKAGUA MIPAKA YA MBUGA YA SADAANI NA KUAMURU MGOGORO WA MIPAKA UMALIZWE
Reviewed by Unknown
on
Aprili 15, 2015
Rating:
Hakuna maoni: