Najua watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana, pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya Floyd ‘Money’ Mayweatherna Manny Pacquiao.
Points tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd Mayweatherkamshinda Pacquiaokwa points sita tu.. Floydana points 117 na Pacquiaoana points 111.
Floyd Mayweather VS Manny Pacquiao tayari kazi imeisha !! Umemjua mshindi
Reviewed by Unknown
on
Mei 02, 2015
Rating: 5
Hakuna maoni: