Kwa matokeo hayo Mayweather kaendeleza kuweka rekodi yake kubwa ya kutoshindwa pambano hata moja tangu amekuwa professional boxer. Shilingi yako uliweka upande upi mtu wangu ?? Uliamini upande wa Mayweather au Pacquiao.
Hakuna maoni: