Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe pamoja na viongozi wengine sita wa chama hicho wameitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazowakabili za kufanya maandamano kinyume cha sheria.
Viongozi wa CHADEMA Akiwemo Mbowe na Katibu Mkuu waitwa Polisi Kwa Mahojiano
Reviewed by Unknown
on
Februari 19, 2018
Rating: 5
Hakuna maoni: