TANGAZO

Chelsea,Everton zashutumiwa


 

 Wachezaji wa Chelsea na Everton waligombana uwanjani
 
FA imezishutumu klabu za Everton na Chelsea baada ya wachezaji wa timu hizo mbili kugombana uwanjani.
Klabu hizo zinashutumiwa kwa kushindwa kuhakikisha kuwa wachezaji wake wanaepuka mivutano uwanjani na kuepuka vitendo vyenye kuchochea vurugu.

Mchezaji wa Chelsea Branislav Ivanovic hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kugombana na James McCarthy, kwenye mchezo wa jumatano wa ligi kuu ya England ambapo Chelsea iliondoka na ushindi wa goli moja bila dhidi ya Everton.



Chelsea,Everton zashutumiwa Chelsea,Everton zashutumiwa Reviewed by Unknown on Februari 12, 2015 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.