Kim Kardashian akiri kujikojolea ovyo
Mke wa msanii Kanye West nchini Marekani mwana mitindo Kim Kardashian
West amekiri kwamba licha ya kuvaa nguo zinazowavutia wengi ulimwenguni
yeye hujikojolea katika suruali zake za ndani zinazozuia mikojo.
''Mimi
hujikojolea kila mara,ni janga kwa kweli'',.huwa hazina mwanya wa
kutosha kuniwezesha kukojoa alisema mwanamke huyo maarufu wakati wa
mahojiano na jarida la Love ambapo baadaye alipigwa picha akiwa uchi.Hatahivyo dadaake Kardashian, Kourtney naye alijotokeza na kusema si Kim pekee anayejikojolea hata yeye pia.
Kim: ''Kourtney alikuwa amezidisha tabia hiyo''Ninakumbuka tulikuwa katika hoteli ya Delano mjini Miami -nadhani hawataturuhusu tena kwenda katika hoteli hiyo.
Kim Kardashian akiri kujikojolea ovyo
Reviewed by Unknown
on
Februari 12, 2015
Rating:
Hakuna maoni: