TANGAZO

BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa msanii wa BONGO FLEVA uliotokea leo Dodoma.

KENS-VAULT-LOGO-Breaking-News-640x356
Moja ya taarifa ya kushtua na kuhuzunisha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii, pamoja na watu kutumiana message ni kuhusu msiba wa aliyekuwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, katika kipindi cha LEO TENA wakawatafuta watu wa karibu ili kuthibitisha taarifa hiyo.

Katika mahojiano yaliyofanywa na dada wa marehemu ambaye jina lake ni Rachelamethibitisha kuwa msanii MEZ B amefariki akiwa nyumbani kwao Dodoma.
Msanii mwenzake pia ambaye ni Noorah ameongea pia kuthibitisha kwamba ni kweli yeye pia alikuwa akiwasiliana na Mez B ambaye alikuwa na homa tangu mwezi December mwaka jana na baadaye akasafiri kwenda Dodoma, anasema mara ya mwisho wameongea kwenye simu ni siku tano zilizopita, leo simu yake imepokelewa na dada yake akimtaarfu kuwa Mez B amefariki muda mfupi uliopita.
Mez B aliwahi kuwa kundi moja na
Msiba uko nyumbani kwao eneo la Kisasa, Dodoma.
BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa msanii wa BONGO FLEVA uliotokea leo Dodoma. BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa msanii wa BONGO FLEVA uliotokea leo Dodoma. Reviewed by Unknown on Februari 20, 2015 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.