Wapinzani DRC wapokea tarehe ya uchaguzi
Upinzani
nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umepokea kwa furaha hatua ya
tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kutangaza tarehe ya uchaguzi.
Hapo
jana Tume ya Uchaguzi nchini humo ilitangaza uchaguzi mkuu wa rais na
wabunge utafanyika Novemba 27 mwaka 2016 na kutanguliwa na uchaguzi wa
serikali za mitaa baadae mwaka huu.Kutangazwa kwa tarehe hiyo ya uchaguzi mkuu kunakuja wiki chache baada ya ghasia zilizotokea katika miji kadhaa nchini humo kupinga sheria ya uchuguzi mbayo ingesogeza mbele tarehe uchaguzi.
Upinzani na wanaharakati walipinga sherika hiyo kwa madai ilikuwa ni njama za Rais Joseph kabila kuchelewesha uchaguzi huo ili aendelee kutawala.
Wapinzani DRC wapokea tarehe ya uchaguzi
Reviewed by Unknown
on
Februari 12, 2015
Rating:
Hakuna maoni: