HUYU NDIO RAISI MPYA WA NIGERIA KUTOKA UPINZANI
Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria,INEC, Attahiru Jega amemtangaza
rasmi Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria jenerali Muhammadu
Buhari kuwa rais wa taifa hilo kubwa barani Afrika baada ya kumbwaga
rais wa zamani Goodluck Jonathan.
Tayari rais anayeondoka madarakani Goodluck Jonathan amekwisha kubali kushindwa kwake baada ya kumpigia simu mpinzani wake, Jenerali Buhari na kumpongeza kwa ushindi huo wa kihistoria.
Hii inakuwa mara ya kwanza katika historia ya taifa hilo kwa rais wa nchi hiyo kung'olewa madarakani na kiongozi wa upinzani
HUYU NDIO RAISI MPYA WA NIGERIA KUTOKA UPINZANI
Reviewed by Unknown
on
Machi 31, 2015
Rating:
Hakuna maoni: