TANGAZO

AJALI YAUA MMOJA, 25 WAKIJERUHIWA NZEGA


Basi la abiria la Jordani baada ya kupinduka wilayani Nzega leo.
Mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.
Marehemu katika ajali hiyo akiwa amelaliwa na basi hilo.

MTU mmoja amefariki dunia huku 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lililopinduka leo wilayani Nzega, mkoani Tabora.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Arusha na limepinduka majira ya saa nne asubuhi.
AJALI YAUA MMOJA, 25 WAKIJERUHIWA NZEGA AJALI YAUA MMOJA, 25 WAKIJERUHIWA NZEGA Reviewed by Unknown on Aprili 15, 2015 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.