TANGAZO

DIWANI WA KATA YA TURWA AJIONDOA CHADEMA NA KUHAMIA CCM

Seebait.com 2018SeeBait



Katikati ni Zakayo Chacha, kulia ni mwenyekiti UVCCM Wilaya ya Tarime, na kushoto, katibu wa CCM wilaya ya Tarime Hamis Mkaluka
Diwani wa kata ya Turwa  wilaya ya Tarime  mkoani Mara na mjumbe wa kamati kuu ya Wilaya Chadema Zakayo Chacha amebwaga manyanga na kukihama chama na kutimukia CCM.

Akizungumza  leo Januari 5,2018 na waandishi wa habari katika ukumbi wa Goldland Hotel Zakayo amesema kwa sasa haoni haja ya kuendelea kuwa kwenye chama ambacho hakuna dira.

Hata hivyo amewashukuru wananchi wake kumuunga mkono kipindi cha uongozi wake kwani umefanikiwa kupeleka maendeleo kwao ambayo ni tofauti na kipindi vingine vilivyopita huku akiwaomba kuendelea jumla ushirikiano katika kusukuma gurudumu mbele.






Benki tano zafutiwa leseni kuanzia leo Alhamisi


DIWANI WA KATA YA TURWA AJIONDOA CHADEMA NA KUHAMIA CCM DIWANI WA KATA YA TURWA AJIONDOA CHADEMA NA KUHAMIA CCM Reviewed by Unknown on Januari 05, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.