TANGAZO

Picha Zaidi za Babu Seya na Mwanae Wakiwa IKULU

Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) akiwa na watoto 
wake Papii Nguza (Papii Kocha),Francis Nguza pamoja na Nguza Mbangu walipomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya kumshukuru Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.



 Mzee Nguza Vicking(Babu Seya) akiwa na watoto wake Papii Nguza (Papii Kocha),Francis Nguza pamoja na Nguza Mbangu walipomtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt.John Pombe Magufuli kwaajili ya kumshukuru Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mzee Nguza Vicking(Babu Seya)pamoja na familia yake walipomtembelea kwaajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais Ikulu Jijini Dar es Salaam.Januari 2,2018.


Picha Zaidi za Babu Seya na Mwanae Wakiwa IKULU Picha Zaidi za Babu Seya na Mwanae Wakiwa IKULU Reviewed by Unknown on Januari 02, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.