KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI JIJINI TANGA CHAFANYIKA.
Mstahiki Meya wa Jiji la
Tanga(CCM) Alhaji Mustapha Mhina Selebosi akizungumza wakati akifungua
kikao cha Baraza la Madiwani leo kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji kushoto ni Naibu Meya wa Jiji
hilo,Mohamed Haniu
Mkurugenzi wa Jiji la
Tanga,Daudio Mayeji akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mstahiki
Meya wa Jiji hilo,Alhaji Mustapa Mhina Selebosi anayefuata ni Naibu Meya
Mohamed Haniu na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga,Meja
Naibu Meya Mohamed Haniu akizungumza katika kikao hicho kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Alhaji Mustapha Mhina Selebosi
Waheshimiwa madiwani wa Jiji la Tanga wakifanya dua kabla ya kuanza kikao hicho |
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Hamisi Mkoba akipitia kabrasha wakati wa kikao hicho |
Katibu wa CCM wilaya ya Tanga katika akifuatilia mijadala mbalimbali wakati wa kikao hicho
Baadhi ya waheshimiwa maduwani wa Halmashauri ya Jiji la Tanga wakifuatilia kikao hicho kwa umakini
Sehemu ya wataalamu katika halmashauri ya Jiji la Tanga wakifuatilia kikao hicho
Diwani wa Kata ya Maweni (CCM) Calvas Joseph akiuliza swali katika kikao hicho
Sehemu ya waheshimiwa madiwani wa Jiji la Tanga wakiangalia makabrasha kabla ya kuanza kikao hicho
Sehemu ya wataalamu kwenye Halmashauri ya Jiji la Tanga wakiwa makini kufuatilia taarifa mbalimbali kulia ni Ramadhani Possi
KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI JIJINI TANGA CHAFANYIKA.
Reviewed by Unknown
on
Februari 08, 2018
Rating:
Hakuna maoni: