Chanzo cha kifo cha baba mzazi wa Dullysykes na taarifa ya maziko.
Marehemu
Mzee Abby Sykes ambaye ni Baba mzazi wa mwimbaji wa Bongo Fleva Prince
Dullysykes, alifariki saa 8 mchana February 15 2015 akiwa hospitali ya
taifa Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Dullysykes ameongea naKIROBOTO. ikiwa ni pamoja na kuelezea kitu kilichosababisha umauti wa baba yake ambapo ameanza kwa kusema >>’Mzee
alikua ana vidonda katika miguu na ndiyo chanzo kikubwa, sumu ikasambaa
ikasababisha kifo chake, vidonda vilishindwa kupona kwa ajili ya moshi
wa sigara ila zaidi hakuwa na tatizo jingine lolote manake baba yangu
alikua strong’
Chanzo cha kifo cha baba mzazi wa Dullysykes na taarifa ya maziko.
Reviewed by Unknown
on
Februari 15, 2015
Rating:
Hakuna maoni: