TANGAZO

Ramaphosa ahaidi kuimarisha uchumi wa Afrika Kusini

MBONIYETU
Cyril Ramaphosa amekuwa kiongozi mkuu wa ANC baada ya kuwashinda wapinzani wake akiwemo Nkosazana Dlamini Zuma         
Kiongozi mpya wa chama cha ANC cha Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefunga rasmi mkutano wa chama hicho akiahidi kufanyia kazi sera za kuimarisha uchumi wa nchi hiyo.


Ramaphosa na Zuma awali walikua marafiki wa karibu   

Amesema kuwa kikao cha kamati kuu kimeahisi pia kurudisha ardhi muhimu ambazo zilikua mikononi mwa wasiohitajika ikiwa ni lengo la kukuza sekta ya kilimo.
Amemsifu mpinzani wake wa kaziribu ayembwaga kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa ANC Nkosazana Dlamini Zuma kuwa ni jasiri na mchapa kazi.
Ramaphosa ahaidi kuimarisha uchumi wa Afrika Kusini Ramaphosa ahaidi kuimarisha uchumi wa Afrika Kusini Reviewed by Unknown on Desemba 20, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.