Rais Magufuli Aahidi Kulipa Bilioni 200 Madeni Ya Ndani Kuanzia Mwezi Ujao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
ameeleza kuwa wezi ujao serikali itaanza kulipa madeni ya ndani yatakayokuwa yamehakikiwa.
“Nasisitiza madeni tutakayolipa ni ya ndani, na tutalipa madeni ambayo yamehakikiwa, kwa hiyo maandalizi ya kutoa fedha hizo yaanze mara moja na ni matarajio yangu fedha hizi zitasaidia kuchochea ukuaji wa uchumi wetu”
amesema Mhe. Rais Magufuli.
Rais Magufuli Aahidi Kulipa Bilioni 200 Madeni Ya Ndani Kuanzia Mwezi Ujao
Reviewed by Unknown
on
Januari 03, 2018
Rating:
Hakuna maoni: